Explore verified plots and strategic locations across Dar es Salaam and Pwani designed for secure investment and future growth.
Explore Available Properties
📍 PANGANI, PWANI
Kilomita 3 kutoka barabara kuu ya morogoro
Mita 900 kutoka barabara ya PANGANI-BAOBAB
Malipo ya awamu unaanza na 50% ya kiwanja chako inayobaki unalipa kidogo kidogo mpka miezi 6
Mradi umepimwa
Unahuduma zote za kijamii
Maji, umeme na barabara
📍 KIGAMBONI, DAR ES SALAAM
Kilomita 2.5 kutoka barabara kubwa ha mwembemdogo
Sqm 1 ni 18,000 kwa malipo ya cash na 20,000 kwa malipo ya awamu
Ukubwa kuanzia Sqm 384
Huduma zote za muhimu zipo
Site visit ni kila siku bure kabisa
📍 KIGAMBONI, DAR ES SALAAM
Mita 300 kutoka barabara kuu ya BUYUNI
Sqm 1 ni 12,000 kw malipo ya cash na 15,000 kwa malipo ya awamu
Kubwa kuanzia Sqm 598
Unaweza kuanza na Milion Moja inayobaki unalipa kidogo kidogo mpka miezi 12 yaan mwaka mzima
📍 KIBAHA, PWANI
Mradi upo Kibaha visiga madafu ni kilomita moja kutoka barabara kuu ya Morogoro
Sqm 1 ni 8,000 kwa malipo ya cash na
Sqm 1 ni 12,000 kwa malipo ya awamu
awamu unaanza na 50% inayobaki unalipa mpaka miezi 6
Contact Perfect Property and secure your preferred location today.
Contact Us